Sunday, November 27, 2011

Historia fupi ya sheikh Ahmad bin Hamad Al khalili

Sheikh Ahmad Al khalili ni katika maulamaa wenye elimu na ucha mungu.Baba yake amezaliwa wilaya ya Buhla nchini Oman, alisafiri baba yake kuelekea Zanzibar na huko ndipo alipo zaliwa sheikh tarehe 27 july 1942. Alihifadhi kitabu cha allah akiwa na umri wa miaka 9.Baba yake alirudi Oman yeye na mtoto wake sheikh Al khalili baada ya mapinduzi, akawa sheikh anafundisha miskitini kisha akachaguliwa kuwa kadhi, halafu akawa ni msimamizi wa mambo kiislam mpaka akachaguliwa kuwa mufti mkuu wa Oman.Na hii inaonesha ukubwa wa elimu yake.

Wednesday, November 23, 2011